Wewe benja ndio nani watu wengi wanaongea vizuri acha wengine wachukue naafasi acha ubepali wa kuuliza mtu mmoja kwani yeye ndio waziri wa habari acha hizo siunaona David alivyoongea vizuri uzushi huo.
Jamaa mwenye tshirt ya kijani ameongea points nzuri sana. Huku tanzania ni kuomba omba tu we angalia ukirudi kutoka safari ukifika airport jamaa wanavyo omba omba pale. Ni aibu sana. Sio kwamba elimu hakuna tanzania, elimu ipo ni watu wavivu kusoma. Hakuna maliasili watu huku, maliasili tunazo, milima, mbuga, madini na sasa gas. Zote tunauza na pesa hazionekani. Serikali ndio inatumaliza. Wananchi tubadilike, au vipi hatutafika.
Bwana jabiri sio umaskini ila kuna vitu muhimu sana.bbadhi yake ni Ardhi kubwa na yenye rutuba, Madini ya kila aina ukiondoa tanzanite kuna madini mengi mtwara na songea ambayo yana thamani sana, uranium ipo songea na sasa hivi kampuni za kigeni zinachimba, Mafuta kila kona ya mtwara, songea, na kigoma. ombi langu ni kwa viongozi wazee waondoke madarakani wawachie vijana ambao wana upeo na uwezzo wa kukabaliana na maendeleo ya chi nyingine duniani.narudia tena hawa wazee wasipoondoka hakuna muda mrefu maandamano na mwishoe ni mapinduzi.
8 comments:
mchizi David wewe noma, nimekufutilia sana ktk kijiwe points zako unazozitoa zinamake sensi, kagombee ubunge kinindoni 2015,ila na wasiwasi na kofia yako usije ukauza sembe pia
where is Benja?
you are what you wear, i am talking about ze kofia
Wewe benja ndio nani watu wengi wanaongea vizuri acha wengine wachukue naafasi acha ubepali wa kuuliza mtu mmoja kwani yeye ndio waziri wa habari acha hizo siunaona David alivyoongea vizuri uzushi huo.
huyu David anaijua Tizedi kuliko JK duh!Noumerrrr nimekupenda David.Lazima umeenda shule
Jamaa mwenye tshirt ya kijani ameongea points nzuri sana. Huku tanzania ni kuomba omba tu we angalia ukirudi kutoka safari ukifika airport jamaa wanavyo omba omba pale. Ni aibu sana. Sio kwamba elimu hakuna tanzania, elimu ipo ni watu wavivu kusoma. Hakuna maliasili watu huku, maliasili tunazo, milima, mbuga, madini na sasa gas. Zote tunauza na pesa hazionekani. Serikali ndio inatumaliza. Wananchi tubadilike, au vipi hatutafika.
Bwana jabiri sio umaskini ila kuna vitu muhimu sana.bbadhi yake ni Ardhi kubwa na yenye rutuba, Madini ya kila aina ukiondoa tanzanite kuna madini mengi mtwara na songea ambayo yana thamani sana, uranium ipo songea na sasa hivi kampuni za kigeni zinachimba, Mafuta kila kona ya mtwara, songea, na kigoma. ombi langu ni kwa viongozi wazee waondoke madarakani wawachie vijana ambao wana upeo na uwezzo wa kukabaliana na maendeleo ya chi nyingine duniani.narudia tena hawa wazee wasipoondoka hakuna muda mrefu maandamano na mwishoe ni mapinduzi.
Dotto unachosema ni sawa tunao waamini Hamna kitu usomi wao hauna Faida kwa mamii
Post a Comment