
Habari Mpwa
Mimi ni mtanzania naitwa Karimu niko Indiana. Ni mpenzi mkubwa wa blog yako VIJIMAMBO.
Nia kuu ya kukuandikia hii email ni kutaka unijulishe kama kuna wabongo hapa Indiana niwasiliane nao na tufahamiane.
HiIo ndio email ninayotumia karimumikunga@yahoo.com
Ahsante
7 comments:
kidogo fafanua mkuu, wabongo umemanishaje, because ninavyo jua mimi yako lakini wazanzibari tena watu poa so sijui kama wao wanajiita wabongo so fafanua ndugu yangu na karibu sana indiana na pia uwe makini si kila mtu anapenda kuingiliana na mtu kama umekuja kutoka home tuliza ball wasosem watu halafu ndo uwavamiye usisikiye wengine wanaweza kucheka cheka na wewe lakini hawana hamu na wewe so jisome pia mwenyewe unataka rafiki wa aina gani kujuana naye najua ni ngumu na najua hatutakiwei tuwe hivi wabongo lakini ndo maisha bwana ya huku unyamwezini si unajua wengine wakimya wengine wamefyatuka wengine domo kaya wengine watu wa uhakika hawana longo longa wala kumsema mtu na kumcheka so jaribu wangu kukaa na kutuliaza kichwa na kujua unataka wabongo wa design gani usivamiye wangu
ushauri wa bure wangu natamani mimi ningekuwa huko indiana ningekuwa rafiki yako lakini ndo hivyo tena nililaa na nawajua watu huko sema niko state inginewe mimi.
nakutakia kila la kheri huko indiana na ufafanuwe wabongo wa design gani unawataka okay take care wangu japo kuwa sikujui huwa napenda kuwashauri watu okay sina kinyongo na mtu alright
Bora hata usjaribu ndugu,wabongo sisi ni wafitinishi siwezi sema sana but usiwashirikishe katika life yako utalia ndugu,bora uko mwenyewe huko jiinvolve na wawest wazungu hata wanugu kuwa na rafikiz wa nchi nyingine but wabongo wataku$%%#@ up ndugu.Si tunayaona haya sisi tunaoishi kwnye states ambazo kuna wabongo wemgi?hii naongea kutokana na uzoefu wangu na sio na guess.uliza uambiwe ni states gani na vipivipi,ukishindwa wa nchi za nje marafiki basi wewe fanya Vijimambo blog best friend kwa kuisoma.Asante sana mdau wa Indiana.
Mimi nipo Indiana ila Samhain sipendi kuwasiliana na Watu wa nyumbani kwani wanarudisha maendeleo nyuma sana Maaana wana wivuuu na umbea.... Good luck to you . Peace.
Strange and shocking.
Mmegeuka wanyama wa aina gani? Eti mnatoa ushauri asmtafute Mbongo kwa sababu za wivu etc etc.
Makes me sick!
Wadau namba 2 na 3 si wazuri.mtu mzima hatishiwi nyau. Lakini usikidharau kilio cha mtu mzima mazee.
This is really sad....where exactly are we going with this hatred?!!!
That's try talk sio kugeuka wanyama, tumejigeuza wenyewe,ndio maana tunaogopana tuko Kama mazimwi.
Post a Comment