ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 1, 2013

KUTOKA VIWANJA VYA NANENANE MBEYA MUDA HUU: UZINDUZI WA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE KANDA YA JUU KUSINI UNAENDELEA SASA VIWANJA VYA MWAKANGALE MBEYA

Watu mbalimbali wakiwa katiaka viwanja vya Mwakangale Nane nane kwa ajili ya Kumsikiliza Mgeni Rasmi
Ebony FM Radio wakiwa LIVE viwanja vya Nanenane
Kikundi cha TOT Mbeya wakitumbuiza katika Shughuli za uzinduzi wa Nanenane Mbeya
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Halison Mwakyembe Katikati akiwa meza kuu pamoja na viongozi mbalimbali
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Meza kuu
Katibu wa TASO Kanda ya nyanda za Juu Kusini Ramadhani Kiboko akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi
Waziri wa Uchukuzi ambaye alikuwa mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe akihutubuia.
Picha zote na Mbeya Yetu Blog

No comments: