TANZANIA HOUSTON COMMUNITY
Kikao cha
Baraza la Rasimu ya Katiba Houston kilifanyika 08/17/2013. kwa kuzingatia ibara ya 60 ya
mambo ya muungano, wajumbe wameamua kwamba Baraza letu la Houston
litajadili hasa kuhusu uraia wa nchi mbili/dual citizenship.Katika hatua
ya kwanza kikao kiliamua kutafuta na kukusanya mawazo toka kwa wanajumuiya
kuhusu faida na hasara za uraia wa nchi mbili kwa wananchi na nchi
yetu ya Tanzania kwa ujumla. Baraza litaliangalia suala hili katika
mitazamo ya hoja zifuatayo:
HOJA
1. Ulinzi na
Usalama.
Wapokea maoni
2. Uchumi
Mpokea
maoni
3.
Jamii/utamaduni.
Mpokea maoni
Hivyo
basi kila mwanajumuiya mwenye maoni anaweza kuwasiliana mojakwamoja na mpokea
maoni ya hoja inayohusika au akatoa maoni yake ndani ya mtandao wetu wa jumuia
au katika email ya jumuiya tzhoustoncomm@gmail.com na
wahusika watayachukua maoni yako. Natanguliza shukrani zangu kwa ushirikiano
wenu.
Mabadiliko
Huletwa na Wanaoshiriki.
Asanteni,
Novastus
Simba, Mwenyekiti..
No comments:
Post a Comment