Majambazi yapora fedha Benki ya Habib African
Majambazi baadhi yao wakiwa wamevalia sare za jeshi la polisi, wamevamia Benki ya Habib African iliyopo Mtaa wa Livingstone Kariakoo, Jijini Dar es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Habari kamili baadae
No comments:
Post a Comment