ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 1, 2013

MAMA MZAZI WA MSANII SHAA AFARIKI DUNIA KIZA BADO KINAENDELEA KATIKA FAMILIA ZA WANAMUSIC WA TANZANIA

Mwanadada SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.

Tunatoa pole sana kwa Kwa shaa pamoja na Familia yake pia Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba
Bwana ametoa na Bwana ametwaa..........

SOURCE: HZB

No comments: