Advertisements

Tuesday, August 13, 2013

MAZISHI YA BILIONEA ERASTO MSUYA

Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa.
Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa.
Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka alipo wasili Msibani.
Mc wa Shughuli ya Mazishi alikua ni JB.
Maelfu ya Waombolezaji waliokaa kila kona ya Eneo la Msiba wakifuatilia taratibu ya Mazishi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Waombolezaji wakifuatilia Taratibu za Mazishi kupitia Luninga zilizokua zimewekwa kila kona
Waombolezaji wakiwa katika kwenye foleni ndefu ya watu wakiwa wanaelekea kwenda kutoa heshima za Mwisho kwa Marehemu.
Hili ndilo Jeneza Lililokua limebeba mwili wa marehemu lililowashangaza wengi kwa vile lilivyokua likifunguliwa kwa rimoti "Remote control"
Mwili wa Bilionea Erasto Msuya ukiwa kwenye Jeneza.
Mke wa marehemu (Mrs. Erasto Msuya) akitoa heshima za mwisho.
Askofu akiandika kitabu cha rambirambi.
Viongozi wa dini wakiandika daftari la rambirambi.
Mamia ya watu wakiwa katika foleni ya kuaga mwili wa Marehemu.
Askofu akitoa heshima za mwisho.
Watoto wa Marehemu.
Mtoto wa Marehem akiaga mwili wa baba yake.
Mbunge wa Simanjiro Ole sendeka akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitoa pole kwa familia ya Marehemu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Erasto Msuya likiwa tayari kupelekwa eneo maalum kwaajili ya kumpumzisha.
Watoto wa Marehemu wakiwa wanaongoza safari ya kuelekea kaburini utakapohifadhiwa mwili wa baba yao.
Hii ndio ilikua safari ya kuupeleka mwili wa Bilionea Erasto Msuya kaburini.
Wananchi wakiwa wamehipanga pembeni wakati mwili wa marehem ukipitishwa.
Mwili wa Marehemu ukiwasili eneo maalum kwa ajili ya maziko.
Dada wa Marehem akitoa neno la familia.
Mwili ukiwa eneo maalumu kwa ajili ya ibada ya mazishi na nazishi.
Askofu akiendesha ibada ya Mazishi.
Wachimbaji wadogo wadogo wa madini maarufu kama wanaapolo wakiwa makini kufuatilia taratibu za mazishi.
Mkuu wa jimbo akibariki eneo la maziko.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu likishushwa kaburini kwa mashine maalum.
Jeneza lenye Mwili wa Erasto Msuya likiwa kaburini.
Familia ya marehemu ikiweka udongo kaburini.
Mafundi wakifanya kazi ya kufunika kaburi.
Askofu akiweka taji la maua juu ya kaburi la marehemu Erasto Msuya.
Nyumba ya Milele ya Bilionea Erasto ikiwa Tayari.
Hawa ni baadhi ya waombolezaji waliokua wamezagaa kila mahali baada ya shuhuli nzima ya mazishi ya Erasto suya kukamilika.
Hii ndiyo gari aina ya vogue ya Marehemu Erasto Msuya aliyoendesha mara ya mwisho.
picha kwa hisani ya www.kingjofa.blogspot.com

4 comments:

Anonymous said...

Kila Mwili lazimaa uonje mauti!!!!!!!!!!!! Hata yesu aliuwawa jamani, hata mitumeeee waliuwawa vilevileee!!!! Cha Maaana ni kila binadamu kuishi kwa Adabu na kumtumikia Mungu pasipo makidai,madharau wala maudhi....... Woooote typo safarini hapa duniani twapitaa tu!!!! Jef upo tayariiii? Rest In Peace Erosto Musuya.

Anonymous said...

“I am the resurrection and the life. He who believes in Me, though he may die, he shall live," this is what Jesus said. If you believe in him he will rise you up and inherit the kingdom of God. When you hear the message of salvation through Jesus do not harden your heart, he will forgive your past sinful life and give you eternal life.

Anonymous said...

RIP Erasto, utakumbukwa daima, hiyo ni Discovery 3 mali ya shemeji yake anayejulikana kwa jina la Shujaa na si Range Rover mpya ya 2013 aliyokuwa akiitumia mpaka umauti ukimfika.

Anonymous said...

Pumzika kwa amani broo. Much respect! Wasio kujua watasema mengi ila all in all ulikua jembe, mwanaume mpambanaji, ulikua changamoto kwa vijana wengi. Kwa umri wako umefanya mambo mengi mno. Umesaidia makanisa, miskiti na mdhamini wa kwaya sisizo hesabika. Hakika haijalishi wanadam wanasema ulikua mtu wa namna gani ila mungu atakukumbuka kupitia sadaka zako na dama yako haitaenda bure. Ulifanya kazi ya mungu. Kama kornelio kupitia sadaka zake.alivyokumbukwa na mungu ww pia utakumbukwa. R.i.p