ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 1, 2013

MBINU ZA KUPANGA JINSIA YA MTOTO WA KUZAA ( MVULANA AU MSICHANA ) KABLA MKEO HAJASHIKA MIMBA

Mpendwa msomaji wa JUKWAA LA WAKUBWA, Maada yetu ya leo ni mbinu za kupanga jinsia ya mtoto wa kuzaa kabla mkeo hajashika mimba....

Siku hizi ulimwengu umeendelea sana, matatizo mengi yanatibika kwa msaada wa wataalamu...Hakuna tena haja ya kupigana na kupeana talaka kisa jinsia ya mtoto...

Somo letu ni lefu sana, hivyo tunaomba uwe mvumilivu.Kutokana na utefu wa somo hili, tutaandika sehemu fupi katika mtandao huu na sehemu nyingie itawekwa katika JUKWAA LA WAKUBWA ambako kutakuwa na majadiliano ya wazi miongoni mwa wasomaji wetu....

Aidha, somo la leo litajikita zaidi katika mbinu za kuzaa mtoto wa kike. 
Ni vipi jinsia ya mtoto huainishwa?
Kinyume na wengi wanavyofikiria kwamba mwanamke au mwili wa mwanamke ndio wenye jukumu la kuainisha jinsia ya mtoto kwa kuwa yeye ndiye anayebeba mimba, uhakika wa mambo ni kuwa mwanamume ndie mwenye uwezo wa kuainisha jinsia.


Kila yai la mwanamke lina chromozu mbili za X. Iwapo manii ya mwanamume au spemu (ambayo in chromozomu X na Y) itakuwa na X na kurutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke.

Vilevile iwapo spemu ya mwanaume itakuwa na Y na kurutubisha yai la mwanamke lenye X, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamume. 

Hivyo kwa kufahamu suala hilo, ni matumaini yetu kuwa vile visa vya kinamama kuachwa eti kwa kuwa hawakuzaa watoto wa kiume au wa kike vitapungua katika jamii zetu. Mke wako asipozaa mtoto wa jinsia uitakayo, usifikiri kuwa yeye ndio mwenye makosa.

Wakati mwanamume anapomwaga shahawa, spemu kati ya milioni 200 hadi 400 humwagwa katika uke wa mwanamke. Baadhi ya spemu hizo huwa zina chromozomu X na baadhi zina chromozomu Y. 

Hata hivyo, ni spemu moja tu ambayo hutakiwa kwa ajili ya kurutubisha yai la mwanamke na kuunda mimba. 


Nadharia mbalimbali zinazotolewa kwa ajili ya kusaidia kuchagua ni jinsia gani unaitaka awe nayo mwanao, zinategemea suala la kuandaa mazingira katika uke na mwili wa mwanamume na mwanamke, yatakayosaidia spemu ya baba yenye chromozomu inayotakiwa irutubishe yai la mama, na hivyo kutungwa mimba ya jinsia inayotakiwa.


Njia ya Dr. Shettles ya kuzaa mtoto wa kike
Njia hii imekuwa ikitumiwa na watu wengi kwa miaka mingi sana na imewasaidia kuweza kuzaa mtoto wa kike. 


Wengi wanasema kuwa uwezekano wa kufanikiwa njia hii ni asilimia 90. Njia ya Dr. Shettles inategemea msingi kwamba, chromozomu Y (yenye kuwezesha kutungwa mimba ya mtoto wa kiume) ni ndogo na yenye kwenda kwa kasi zaidi ikilinganishwa na chromozomu X (yenye kuwezesha kutungwa mimba ya mtoto wa kike) ambayo ni kubwa na huenda polepole. 

Pia kwa kutegemea kuwa chromozomu X inaishi muda mrefu zaidi kuliko ile ya Y. Hivyo Dr. Shettles anashauri kuwa iwapo unataka kuzaa mtoto wa kike uhakikishe kuwa:

3 comments:

Anonymous said...

Pls help me for this ninashida kweli na mtoto wa kike ilo jukwaa lenu la wakubwa Ndio lipi.?

Unknown said...

Asante sana mtaalam wa dawati hili,kuweza kuiletea jamii hii Elimu,watu wengi sana,wana imani isiyo kidhi mahitaji yao, mfano mwanamke kuwa na watoto wa jinsia moja tu hiyo ni kesi tosha ambayo husababisha mvurugano ndani ya wanandoa, bilA KUJUA ndoA NI MPANGO SAHIHI WA MUNGU, MAANDIKO YANASEMA NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.Sipendi kuzungumzia kupita kiasi kama alivyosema mtaaluma wetu kuhusu swala hili nyeti,kweli kabisa,mpango wa kuzaa mtoto wa jinsi ipi ni mipango na maelewano ya watu wawili yaani waana ndoa.Mfano arrengement yao inaweza kuwa hivi,,,,,,mwanamke huwa na mbegu aina moja tu ambayo ni X, NA MWANAUME HUWA nazo mbili yaani XY.JE UTAFANYEJE?unapokutana kimwili na mkeo/mmeo mbegu ya Y HUWA ZINATOKA SPEED KALI SANA KWENDA KUTAFUTA MRUTUBISHWAJI AMBAYE NI YAI. IKUTA YAI HALIJAPEVUKA AU HALIKO TAYARI HUWA ZINA KAA MASAA 12 ZINA EXPIRE,ZINABAKI X ZENYEWE HUSHUKA TARATIBU KWA MALINGO,NAKUFIKA ENEO LENYEWE,NA KUTULIA KWA MASAA 72, MTOTO ATAYEZALIWA HAPA NI WA KIKE. HIVYO BASI UKITAKA WA KIUME, SUBIRI NA PANGENI SIKU ZIKIKARIBIA ZA YAI KUPEVUKA AU ZIFIKE KABISA NDO MWENDE KUINGILIANA, MAANA MBEGU HII Y YAANI YA KIUME ITATOKA ZUTU SPEED 200K/H KWENDA KURUTUBISHA.SO MTOTO ATAYEZALIWA NI WA KIUME. WEWE MAMA MWANDAE VIZURI MWENZI WAKO MUDA HUO APATE MAJI YA KUOGA YA MOTO MBEGU HIZI HUPENDA JOTO ILIZIENDELEE KUTANUKA.PIA MWANDAE MWENZI WAKO KUWA NA STAMINA MAANA BAO HILI LA MTOTO WA KIUME LINAHITAji nguvu sawa sawa, maana mtoto wa kiume ni mwenye nguvu kuliko hahahahahahaaaaaa. ukifanya haya utafanikiwa, kwa mawasiliano na ushauri wa kitaalamu zaidi piga 0757 414385, au kimasanjas@gmail.com

Anonymous said...

Okkkkkk wataalamu, pia hili nalo lafaa sana kueleweka. Kama uke na njia zake za safari ya dogo Y is too acidic, dogo Y hufaa tena hata mile moja hafiki. Ikumbukwe kwamba wakati kumtafuta dogo Y mkeo ajiepushe vitu vyenye acid/tindikali nyingi. Amount of acid good for couple is below 40, wanyaji wa pombe haina shida bali shida iko kwa walevi. Pia mlevi anae pata supu za aina ya makongoro, samaki, pweza, ngisi nk no problem. Hata akiliwa ilimradi anamkia supu anakua na stamina ya magoli. Kuna mlevi mmoja alizoea kurudi saa nane usiku, lakini alikuwa na kawaida ya kupiga shoot za mita 20 na kufunga magoli kabla hajalala. Alizaa dogos 6times na X mara mbili. Hivyo afya njema na lishe kwa mwanamke ni muhimu sana. Mwanamke hakikisha unakula vyakula kukuongezea joto kwa wingi ili mmeo akikugusa tu akina dogo huchoka mwe.ndo wa mita 100 kwa sekunde.