Mhe. Wenje atiwa mbaroni kwa kuongoza maandano ya CHADEMA jijini mwanza
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisi hapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi
1 comment:
Anonymous
said...
Nafikiri kuna tatizo la kutofahamu sheria kwa waendesha mashtaka wetu na maofisa wa ngazi za juu wa majeshi nchini. Wanatumia kodi za wanachi kufungua mashtaka ya "uchochezi" na "ugaidi" ambayo watuhumia wataachiwa huru na kesi zao kufutwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha. Hayo yamedhihirika kwa viongozi wa Chadema, Sheikh Ponda, wabunge wa mtwara, nk. Kwanini serikali isitumie fedha kidogo kuwasomesha sheria makamada wa polisi na waendesha mashtaka ili kuondoa usumbufu wa watu kukamtwa na kuachiliwa huru kwa "nolle prosequi" au "equital"? Nilisikia kuwa hata daktari alitiwa mbaroni Morogoro ili kupata medical records za Sheikh Ponda. Really? Guilty untill proven innocent ndiyo sheria ya Tanzania ambvyo ilipaswa iwe kinyume chake. This is not fare for innocent tax payers.

Post a Comment