ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 19, 2013

MPAMBANO WA MADJ WEEKEND HII ALOMO LOUNGE MT VERNON, NY DJ MAO NA DJ BILAL NANI ZAIDI JUMAMOSI TAREHE 24 KUANZIA SAA NNE USIKU HADI MAJOGOO





Jumamosi hii ya tarehe 24 ndani ya Alomo Lounge ni mpambano wa madj kati ya dj Mao na dj Bilal bingwa wa mduara na dj Mao bingwa wa Ndombolo kazi kwenu wana New York na pande za kati. Kiingilio kama siku zote ni mguu wako tu na kupendeza kwako ndiyo ticket yako. Mnakaribishwa wote kuanzia saa nne usiku hadi majogoo. Njoo na uje kushuudia nani zaidi kati ya madj hao wawili ndani ya Alomo Lounge Mt Vernon NY.

4 comments:

Anonymous said...

dj tahir bilal paul anasijdaa siku hizi mashallah mashallah dj wetu

Anonymous said...

mimi shabiki wa hawa jamaa wote wawili nawapenda kwa udj wao lakin naona jamaa mao atakaza buti atashinda wazenji hawana ummoja na wawawezi kumshinda mao japo kuwa nampenda dj tahih bilal kwa miduara yake nadhani siku hizi kajimarisha kidogo

Anonymous said...

jamaa kama ana sijdaa si achee udj afanye kazi yake ya zamani kwa mchina nadhani si sijdaa ila ni kovu na jamaa mkali kwa mduara

Anonymous said...

so stupid eti wazenji hawana ummoja ni ujinga tu get ur life