Jumamosi hii ya tarehe 24 ndani ya Alamo Lounge ni mpambano wa madj kati ya Dj Mao na Dj Bilal bingwa wa mduara, na Dj Mao bingwa wa Ndombolo kazi kwenu wana New York na pande za kati. Kiingilio kama siku zote ni mguu wako tu na kupendeza kwako ndiyo ticket yako. Judge wa mpambano huo ni Vijimambo New York pamoja na kilele za machabiki wa music hitakayo pigwa na madj hao. Wote mnakaribishwa kuanzia saa nne usiku hadi majogoo. Njoo kushuudia ujuzi wa madj hao wakali wakichuana ndani ya Alamo. Address ni hii!
166 Gramatan Ave.
Mount Vernon, NY 10550
2 comments:
poa nani mkali watanzani twendeni tukajionee tafadhalini na tuwa support my dc wetu wa tanzania.
Yes count me in!!!!!!!!
Post a Comment