ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 2, 2013

MTANZANIA MSHIRIKI ALIYETOLEWA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER AFRIKA AMMY NANDO ATUA JIJINI LOS ANGELELS CALIFORNIA

Ammy Nando awasili Los Angeles, California
 Mpiganaji Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Ammy Nando
  Mpiganaji Davis Mosha akimpa ushauri Ammy Nando kuwa asahau yaliyopita na aangalie ya mbele na kumweleza kuwa hiyo ilikuwa ni mchezo tu (It was just a game)
 Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Ammy Nando, na Deo Temba L.A. Mayor
 Mayor wa L.A. Deo Temba, Ammy Nando, Nancy Assenga (Mama na Meneja) na Mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi mara baada ya kumpokea Nando Los Angeles, California.
 Juliet Luangisa, Ammy Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)
Mkurugenzi Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Ammy Nando, Walter Minja, Deo Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumpokea Army Nando Marekani.

MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" BAADA YA KUONANA NA WATANZANIA WAISHIO  L.A.  AMWANDALIA HAFLA (BASH) NZITO YA HADHI YA KISTAA (CELEB STATUS) AMMY NANDO KATIKA HOTELI GHALI YA YARD HOUSE L.A. MAREKANI.
 Mpiganaji "THE CEO" Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center) na JW Marriott Hoteli.
 Ammy Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.
 Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.
Juliet Luangisa na Walter Minja wakiburudika kwa misosi ya Yard House.

USIKOSE KUANGALIA EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV
   USIKOSE KUANGALIA INTERVIEW HII ENDELEA KUANGALIA SWAHILI TV
  www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV COPYRIGHT 2013

2 comments:

Anonymous said...

Nando u too cute...I miss u so much,its not fun watching bba anymore,cant bve its sat and am alrdy in bed

Anonymous said...

I stopped watching Big Brother Africa the day you left. You made the game interesting. The house is dead without you.May God bless your future plans. Please remember Bimp (Bimlak Tesfaye Haile) he wasyour true friend in the house. He supported you through thick and thin was shattered by your exit.