ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 23, 2013

MZEE WA TAKEU A.K.A MR. NICE NA KIBAO CHAKE "CHALI WA KIBERA"


Mr. Nice alivuma sana nchi Tanzania,Kenya na Uganda kwa style yake ya TAKEU akiwa na  vibao vyake vya kutukatana na shoka kama Fagilia,Kidali Po,Kikulacho,Kingasti na vingine vingi.

No comments: