ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 13, 2013

Ngoma Africa band watingisha International African Tubingen 2013,Ujerumani

 balozi wa DRC Excellence Madame Clémentine Shakembo Kamanga,akiipongeza Ngoma Africa,mabalozi wengine wa nchi za kiafrika,ujerumani wakishuudia.
 FFU kazini Tubingen
 ffu na mitutu yao.
 Kamanda Ras Makunja akiongoza mashambulizi Tubingen,Germany
 kamanda mkuu wa FFU ,Ras Makunja akirusha makombora yake
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Tuzo ya kimataifa ya best Africa band.
 Ras Makunja.
 kamanda Ras makunja akiwajibika
 Kikosi kazi Ngoma Africa band
 Mabalozi wa nchi za Togo,Senegal na Kongo DRC wakiwa jukwaani kuipongeza Ngoma Africa band mwenye kipaza sauti Kamanda Ras Makunja
 mwenye mtutu Afande Chris-B pembeni yake kamanda wa Kikosi Ras makunja
 Ngoma africa band wakiwa na Tuzo ya kimataifa ya best Africa band
 Ras Makunja akimtambulisha Balozi wa Togo nchini Ujerumani Excellency Mr. E. Comla PAKA,

1 comment:

Anonymous said...

Vichaa Ngoma AFrica band aka FFU aka Watoto wa Mbwa,nchini ya kamanda mkuu Ras Makunja aka Field-Marshal wa FFU aka Mflame wa viumbe wa ajabu Anunnaki ellien,kazi ayo baabu kubwa