Jumamosi hii ya tarehe 24 ndani ya Alamo Lounge ni mpambano wa madj kati ya Dj Mao na Dj Bilal bingwa wa mduara, na Dj Mao bingwa wa Ndombolo kazi kwenu wana New York na pande za kati. Kiingilio kama siku zote ni mguu wako tu na kupendeza kwako ndiyo ticket yako. Judge wa mpambano huo ni Vijimambo New York pamoja na kilele za machabiki wa music hitakayo pigwa na madj hao. Wote mnakaribishwa kuanzia saa nne usiku hadi majogoo. Njoo kushuudia ujuzi wa madj hao wakali wakichuana ndani ya Alamo. Address ni hii!
166 Gramatan Ave.
Mount Vernon, NY 10550
1 comment:
jamani luke naomba please utuwekee clip ya pambano hili la leo kwenye mtandao please nasikitika sana sitoweza kuhuzuria nimepata emergency so nakuomba jamani mheshimiwa luke utuweke pambano hili clip yake mtandaoni ili tujionee tukipata nafasi siku nyinginewe please mkuu nani zaidi, hongereni watanzania wa new york wa mount vernon kwa kufanya mchakatuo huu na kutupa burudani sisi wakazi wa mount vernon new york ahsante sana mungu akupeni daimi miyoyo kama hivi daima ahsanteni
Post a Comment