Wanamuziki wa kizazi kipya kutoka Kenya P Unit wakifanya makamuzi Belville, Maryland Jumamosi Aug 24, 2013 huku wakijaribu kukata kiu ya mashabiki waliofunga kwenye ukumbi wa Kama Lounge.
Mashabiki wa P-Unit wakipagawa na kundi hilo la muziki wa kizazi kipya walipofanya makamuzi Kama Lounge siku ya Jumamosi Aug 24, 2013.
Aj Ubao mwanamuziki wa kizazi kipya Mtanzania anayeishi Maryland akiwafungulia pazia P-Unit.
Aj Ubao akipata ushirikiano kutoka kwa mashabiki walipokua wakiimba wimbo wake.
Madj wakiwa kazini.
Mashabiki wakipiga picha ya pamoja na P-Unit mara tu walipomaliza
Picha na P-Unit zikiendelea.
Shabiki wa P- Unit akipata Ukodak Moment nao.
Mashabiki wakiendelea kupiga picha na P- Unit.
Video ya mambo yalivyokuwa Kama Lounge
Click Soma zaidi for more photos
No comments:
Post a Comment