ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 20, 2013

PRESS CONFERENCE YA UVCCM KUMTAKA RAIS SHEIN AMUWAJIBISHE MWANASHERIA MKUU WA SMZ KUTOKANA NA KAULI YAKE DHIDI YA MFUMO WA MUUNGANO WA SERIKALI TATU.

 Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu, akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka ili azungumze na waandishi wa habari wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Utawala UVCCM ofisi ya Zanzibar Mbaruk Mrakib, mkutano huo umefanyika Gymkana Mjini Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar kuliani kwake ni Mkuu wa Utawala UVCCM afisi ya Zanzibar Mbaruk Mrakib, kushoto Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu.
 Mwandishi wa habari Jacoub Joseph wa Hits fm radio akimuliza sualia Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,huko ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka akisisitiza kitu alipokuwa akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)

No comments: