ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 24, 2013

PREZZO AWASILI DMV NA TAYARI KWA RED-BLACK & WHITE PARTY RELOADED LEO JUMAMOSI

Mwanamuziki wa kizazi kipya Prezzo "the Ambassador" akilakiwa na mwenyeji wake Missy Temeke wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI Ijumaa Aug 23, 2013 ambae leo Jumamosi atawasha moto kwenye Red-Black & White Party Reloaded itakayofanyikia 6515 Loch Raven Blvd, Baltimore, MD kuanzia saa 3 usiku(9pm) Prezzo ameahidi kukata kiu ya mashabiki wake.
Prezzo the Ambassador akikupigia salute wakati alipokua akipata chakula cha jioni
Prezzo katika picha ya pamoja na Missy Temeke.
 Missy Temeke akiendelea na menyu

1 comment:

Anonymous said...

Nice Missy Temeke. Hata awakuwezi.