TAMCO mnafanya mambo mazuri sana. Jazakallah to all mnao jitolea as leaders. On behalf of my family, shukran sana. Tumeenjoy Iftar ya pamoja.
Hata Wakristo ambao hawafungi watashiriki?
Tamco mnafanya mambo yenye kuleta neema kwa wanajamii wote wa kiislamu katika mfungu huu may Alla bless you guys so much in this dunia and here after na i have a small question hivi mwezi umeshaandama au umeshaandamishwa hiyo alkhamis tukafanya eid?
Anon wa pili: Tangazo linasema "Watanzania wote mnakaribishwa". Soma vizuri. Kama wewe ni mpagani au mkiristo Mtanzania pia unakaribishwa.
Mdau #2, Idd ni sherehe na watu wa dini zote hujumuika pamoja, mimi ni budhist lakini sikosi kuja kula pilau, all are welcome!!!!!
Post a Comment
5 comments: