Studio ya kisasa imefunguliwa huko Bwiru- Mwanza, iko chini ya wataalam waliobobea katika nyanja ya music i.e mwanzilishi Zakayo Diigula, Mkurugenzi David Diigula ie DD 0754 754 866, Mkurugenzi Hosea Diigula.Fika kwa upate huduma za kisasa kabisa. Ukipata taarifa hii mfahamishe na mwingine.
Asanteni sana,
Brand New studio open in Bwiru- Mwanza( Tanzania). This studio is under great producers ie President Zakayo Diigula cell 519 588 6500 Managing Director DD 0 754 754 866 Managing DirectorHosea Diigula and mdhamini Frank Chungu 330 605 6746. Come work with us we will give the best service.
Studio ya kisasa iliyofunguliwa Bwiru, mkoani Mwanza inavyoonekana.
Producer akiwa kazini.
Mwanamuziki akirekodi.
Rais Zakayo Diigula akiwa kazini






1 comment:
Inaonekana babu kubwa hiyo!
Post a Comment