ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 2, 2013

SWAHILI TV YAJITANUA HOLLYWOOD CALIFORNIA MAKAO MAKUU YA DUNIA YA BURUDANI NA MAMBO YA STAREHE

 MKURUGENZI WA SWAHILI TV ALEX KASSUWI AIFIKISHA SWAHILI TV HOLLYWOOD KWA KISHINDO

Alex Kassuwi aka KING akienda kwenye moja ya mikutano ya kusaini deals, Hollywood blvd, California
 Mpiganaji The CEO Davis Mosha akiwa katika mazungumzo na Mwanzilishi na Boss wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot
 Crew mpya wa Swahili TV Bwana J akiwa na mkurugenzi Bwana Alex kassuwi (King)
  Alex K. King  akiwa na mkurugenzi wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot.
 Furaha baada ya Mkutano kati ya maboss wawili Alex na Charles
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV www.swahilitv.blogspot.co

2 comments:

Anonymous said...

Huyu alex ni mshamba. I thought he was cool but gotta damn it..

Anonymous said...

May be he is bonge ya mshamba, kaingia kwa pupa ktk ulimwengu wa media. Anaonekana labda anahitaji elimu ya kumwezesha ajijue, afanyeje na kwa watu gani. Kwa mfano hata ni vigumu sana kwake kutofautisha matamshi ya mitaa kwa lugha inayolingana na hadhira/ord....nce. Huwezi kusema neno "mtaaa wa Hamiliton street". Kazi kwenu wadau.