ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 14, 2013

Tangazo la Msiba Atlanta na Tanzania

The body of Buyoya Paul Biswalo was recovered from the Chattahoochee River on Monday.
Paul BuyoyaBiswalo
Kwaniaba ya familia ya Biswalo tuna sikitika kuwatangazia kifo cha Mtanzania mwenzetu Paul BuyoyaBiswalo, aliye fariki katika Mto wa Chattahoochee.Kama wengi wenu mlivyo zipokea taarifa hizi hapo awali kutoka kwenye mitandao mbali mbali na vyombo vya habari hapa Atlanta .

Kama kawaida yetu watanzania ,tunawaomba tushirikiane pamoja na familia ya Biswalo huko Tanzania ili kuweza kufanikisha mahitaji yote ya huu msiba ulio tupata wa Mtanzania mwenzetu.

Taarifa tulizo nazo ni kwamba Kaka yake na Marehem anatarajiwa kufika hapa Atlanta kesho Usiku Tarehe 14 August 2013.

Mipango kamili ya Mazishi ya marehem bado hayajapangwa mpaka hapo kaka wa Marehem atakapo wasiri.

Ndugu wa Marehem pamoja na marafiki wa karibu na marehem Paul Buyoya Biswalo wame fungua Account kwa ajili ya Funeral fund ya Marehem kwenye Link hapo chini.

You can help by donating through Paypal (https://www.paypal.com/webapps/mpp/send-money-online ) to the email below:tage81@hotmail.com

or you can donate through the Buyoya Funeral Fund established below:http://www.gofundme.com/buyoyabiswalo

Msiba Utakuwa Nyumbani kwa Ndugu Elias Elisa hapa Atlanta, pindi kaka wa Marehem atakapo fika .

taarifa zaidi tutawafahamisha hapo baadaye

Kwa maelezo zaidi : wasiliana na :

Elias Elisa 404-647-4945
Amani Tungaraza .614-323-4114
Lemmy Muhando 202-361-1059
Dennis Bwimbo 817-770-3559
Mungu amuweke mahali pema Peponi, Paul BiswaloAmen 

Tanzania Association of Atlanta

No comments: