Juu na chini ni Didi Vava akichoma nyama siku ya Jumamosi Aug 17, 2013 siku ya Jumuiya ya Watanzania waishio DMV walipofanya nyama choma kwa ajili ya familia za Watanzania na marafiki zao waishio DMV.
Julius Manase akiwa na familia yake kwenye nyama choma iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV.
Wajukuu wa Nyerere katika picha ya pamoja.
Juu na chini ni Wageni mbalimbali wakiburudika na vinywaji.
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye nyama choma iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
3 comments:
Nawapongeza kwa ushirikiano wenu mkubwa, miji mingine tufuate mfano wa hawa jamaa popote walipo.
Nawapongeza kwa ushirikiano wenu mkubwa, miji mingine tufuate mfano wa hawa jamaa popote walipo.
nauliza ilikuwa bure kwenda huko kula mahanjumati au unalipia au uwe mwana chama wa jumuiya,jamani nijibuni kila siku niko kibaruani kwetu maskini ndo maana so sometimes natamani nijumuike lakini najiuliza ni bure au money money
Post a Comment