ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 1, 2013

WAZIRI MKUU WA THAILAND AAGWA

Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, akipunga mkono, wakati akipanda ndege yake tayari kuondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku 3 nchini
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jeneral Davies Mwamunyange (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Ramadhan Othman (wa pili kulia), walipokutana baada ya Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam j
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, wakipungia kikundi cha sanaa wakati wa hafla ya kumuaga mgeni wake huyo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam

No comments: