WEMA SEPETU AWATAMBULISHA WASANII WAKE CLUB BILLICANAS
Mkurugenzi wa Kampuni ya filamu ya Endless Film,Wema Sepetu jana aliwatambulisha wasanii wake Club Billicanas ambao wako chini ya kampuni hiyo Mirror na Asali. Wasanii hao ambao wanakuja kasi katika muziki wa Bongo Fleva, jana waliweza kukonga nyoyo za mashabiki wao walipopanda kwenye stage.
Asali
Katika uzinduzi huo wasanii wa Endeless Fame walitambulisha nyimbo zao mpya ambazo ziliwagusa…
3 comments:
Nazani inabidi tufunguke kidogo na kujaribu kuwa waelewa kwa hili. Kwa mawazo yangu mimi ningekuwa Wema ningevaa kofia yenye nembo ya kampuni yangu Endless Fame. Haileti maana kwa mtu kuvaa kofia na bendera ya marekani LMAO !!
Ujakosea nipo marekani sivai hiyo kofia angevaa ya tz basi au ya jina lake
kweli kabisa mdau wa hapo juu huu ni ulimbukeni tu,taifa lako hulithamini nani atakae kuthamini??ajitambue sasa
Post a Comment