Advertisements

Monday, August 12, 2013

YANGA YAENDELEA KUJIIMARISHA KABLA YA KUANZA KWA LIGI


Kocha Mkuu wa Yanga, Ernest Brants, akiwapa wachezaji maelekezo kwa kumtolea mfano msaidizi wake, Fred Felix Minziro. …




Maelekezo yakiendelea. 
Prezidaa wa Mashujaa Musica, Chaz Baba, akipitia gazeti wakati wa mapumziko kwenye mechi ya Yanga na Villa SC iliyochezwa jana uwanja wa taifa . Yanga ilishinda 4-1.
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga, leo asubuhi wamenaswa na kamera yetu wakijiandaa na mazoezi kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini Dar es Salaam.


(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)

No comments: