Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness Wanapoijadili Siasa
1 comment:
Anonymous
said...
Tafadhali sana tusidanganyane, SIASA ni shughuli zinazohusisha muongozo wa serikali na mfumo mzima wa maisha ya jamii. Ikiwa ni maneno na vitendo vya muongozo huo. MWANASIASA ni yule anaye jishughulisha na shughuli hizo haswa wale walio au wanao wania madaraka.
Sema sisi watanzania tunapenda sana kuongea ndio maana kila mara tunapotoshana kwa maneno mengi. Kwahiyo basi ndio unaposikia tunajitolea tafsiri olela za siasa kama vile unaposikia kwenye mazungumzo ya kawaida mtu anasema unaniletea siasa.
WANASIASA wote ni waongo na ni lazima wawe hivyo kwasababu ukweli mara nyingi sio kitu watu wanapenda kusikia. HASWA pale wanapowania uongozi lazima waseme maneno ambayo wanajua watu wanataka kusikia haswa kama yatamsaidia yeye kushinda.
1 comment:
Tafadhali sana tusidanganyane,
SIASA ni shughuli zinazohusisha muongozo wa serikali na mfumo mzima wa maisha ya jamii. Ikiwa ni maneno na vitendo vya muongozo huo.
MWANASIASA ni yule anaye jishughulisha na shughuli hizo haswa wale walio au wanao wania madaraka.

Post a Comment