ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 30, 2013

MASWALI NA MAJIBU MKUTANO WA CCM DMV

 Wadau hii ni sehemu ya maswali na majibu kwenye mkutano wa CCM DMV uliofanyika jana Jumapili Sept 29, 2013 kesho tutajitahidi kuwaletea sehemu nyingine na hotuba ya Mhe. Mwigulu Nchemba
Chini ni maswali na majibu kutoka mkutano wa CCM DMV na waliojibu maswali ni Mhe. Mwigulu Nchmba akisaidiwa na msaidizi wa Rais Jakaya Kikwete Mhe. Rajab Luhwavi

3 comments:

Anonymous said...

Asanteni sana kwa majibu yenu mazuri na mengine ya kupindisha tu ili mradi mmeyajibu lakini eleweni chanzo cha matatizo mengi ni elimu isioyo na nguvu Tanzania. Viongozi wanataka kupaa tu angalieni vijana wamefuata nyayo za baba zao na hawana elimu ni blabla za kisiasa tu na kulimbikiza mali. Ufisadi tu. Iko siku ya siku vyama vinabezwa lakini..

Anonymous said...

Nchemba, bado hujajibu swali tatizo sio kuchangia maji tatizo kuu ni matumizi ya michango hiyo.

Anonymous said...

Nchemba we BUILD QUALITY into product not adding QUALITY after having the product. Kwa kifupi tuache kujenga zahanati au vituo vya afya MAJENGO