ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 5, 2013

Mheshimiwa Mwantumu Mahiza awataka wanahabari kuzipa kipaumbele taarifa za hali ya hewa kwa maendeleo ya Taifa

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe;Hajat Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo kwa wahariri kwenye ufunguzi wa warsha ya wanahabari kuhusu huduma za hali ya hewa na nafasi ya vyombo vya habari katika sekta ya hali ya hewa iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Katibu wa jukwaa la wahariri bw.Neville Meena akiongea kwa niaba ya jukwaa la wahariri
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe;Hajat Mwantumu Mahiza katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari nchini,pembeni ni Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt.Agnes Kijazi(wa pili kushoto)

No comments: