Mtoto Shabani Maulidi akiwa tayari amelala kitandani katika hospitali ya wilaya ya Geita.
Mama mzazi wa mtoto Shabani menye kilemba kichwani akiwa amepigwa bumbuazi maeneo ya hospitali.
Eneo ambalo mawe yanaonekana nyuma ya nyumba ndipo Mtoto huyo alipo zikwa
Wadogo zake na Shabani nao wakiwa wameshikwa na mshangao kama walivyokutwa nyumbani kwao.
1 comment:
DO DNA TEST PLEASE! Labda wanafana!
Post a Comment