ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 23, 2013

MWIGULU NCHEMBA AFUNGUA TAWI LA CCM CHICAGO

Mhe. Mwigulu Nchemba akiongea na wanachama wa CCM  Jumamosi Sept 21, 2013 siku ya ufunguzi wa tawi Chicago. Jumapili Mhe. Mwigulu Nchemba ataongea na Watanzania DMV kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo kwenye Address ya 1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783.
Mhe. Mwigulu Nchemba akisalimiana na wafuasi wa chama hicho wakati alipokua akiingia ukumbini hapo.
 Wafurukutwa CCM katika picha ya pamoja na Mhe. Mwigulu Nchemba siku ya Jumamosi alipokua akifanya ufunguzi wa tawi Chicago.
 Mhe. Mwigulu Nchemba akikabidhi kadi kwa wanachama wapya siku ya ufunguzi wa tawi Chicago
 MwanaCCM Chicago akipokea kadi kutoka kwa Mhe. Mwigulu Nchemba.
 Mhe. Mwigulu Nchemba akishikana mkono na mmoja ya mwananchama baada ya kumkabidhi kadi ya uanachama wa tawi siku ya Jumamosi alipofanya ufunguzi wa tawi Chicago.
 Aliyekua mwenyekiti wa CCM DMV Bi. Loveness Mamuya akishuhudia Mhe. Mwigulu Nchemba akikabidhi kadi kwa mwananchama wa chama hicho siku ya Jumamosi Sept 21, 2013 alipofungua tawi la CCM Chicago
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: