Ni vurugu ambazo zimetajwa kutokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati wa mjadala wa muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
6 comments:
Anonymous
said...
Kiukweli ule usemi usemao kwamba ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji, tuliyaashuhudia haya Kenya ndani Bunge lao na leo wanashika adabu zao, pia vilevile tuyaashuhudia hayahaya kule somalia ndani ya bunge lao. Hawa ni majirani wetu tulipaswa tujifunze kitu, na hicho kilijiri jana Bungeni ni matokeo ya mafundisho hayo
Jamani ukiacha mambo ya vyama kwani sheria za bunge si kila mtu anazijua?? HATA MTOTO WA MIAKA 5 KINDERGATEN UKIANZA KUINGILIA MAONGEZI YA MWENZIO DARASANI MWALIMU ANAKWAMBIA KAA CHINI USBIRI ZAMU YAKO. SASA HUYU MBOWE ILIKUWA NI ISSUE GANI ILIYOMSIBU KUTAKA KUONGEA WAKATI MHESHIMIWA MREMA ALIKUWA AMEPEWA NAFASI YA KUONGEA COULDN'T HE WAIT? ANGEFUATA ALIYOAMBIWA NA NAIBU SPIKA KUKAA CHINI THEN ANGEPEWA ZAMU YA KUONGEA AFTER MREMA. HAYA NDIYO MAMBO YANAYOTUONYESHA KIASI GANI WATU KAMA MBOWE BADO HAWAJAKOMAA KISIASA KUONGOZA NCHI KILA WAKIINGIA BUNGENI WANACHOJUA WAO NI KWENDA KUPAMBANA NA CCM BADALA YA KUWA NA MAELEWANO NA CHAMA TAWALA ILI TUIJENGE NCHI, THEY NEED TO CUT DOWN THIS JAZBA. UKIANGALIA HIZI PICHA UTAONA SURA ZAO ZILIVYOJAA JAZBA ZISIZO NA MSINGI. CHADEMA MNA ZUNGUMZA MAMBO YA MAANA LAKINI HIZI FUJO NA JEURI ZENU NDO ZINATUTISHA KUWAAMINI! HEMBU JARIBUNI KUFUATA SHERIA ZA VYOMBO VYA UMMA, SPIKA NDO MWENDESHA BUNGE HATA UKIWA NA NYETI GANI UNATAKA KUISEMA LAZIMA USUBIRI MUDA ULIOWEKWA NA TARATIBU ZAKE. NAOMBA MUHESHIMU NAFASI MLIZOPEWA NA WANANCHI SI KUJA KUFANYA JEURI BUNGENI BUT TO FIGHT FOR THEIR RIGHTS!!!!!!!! MUNGU IBARIKI TANZANIA
Jamani sasa Huyu mbowe na sugu ndio wanaanza mambo ya BEDUI tutafika kweli aibu gani hii ya nchi yetu jamani kweli Nyerere akifufuka sasa hivi itakuwaje ?????!!!!!!!

mmmmmmhhhhh!! Ndo hivi bunge linatakiwa kuwa kweli? Sasa mafundisho hapa ni yapi kwa wananchi?? Hayaaaa!!
hauwezi kuvuta bangi then unaenda bungeni
Jamani sasa Huyu mbowe na sugu ndio wanaanza mambo ya BEDUI tutafika kweli aibu gani hii ya nchi yetu jamani kweli Nyerere akifufuka sasa hivi itakuwaje ?????!!!!!!!
Education matters. A thug like Sugu shud never have been an MP. Ni aibu tupu kwa constituency yake na kwa Bunge letu.
Post a Comment