Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielekea kwenye ukumbi wa Kongamano la Kimataifa la Utamaduni wa sutaarabu wa Kiislamu lililofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya La Gemma De est Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa na wenyeji wake Mkuu wa Mkoa huo Pembe Juma Khamis Kati kati na Waziri wa Habari wa Omar Dr. Abdulmumin Mansour Bin Said Al-Hasani
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna akitoa hotuba ya kukaribisha mgeni rasmi Balozi Seif kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Moh’d Gharib Bilal kulifunga Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni Afrika Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifunga Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki kwenye hoteli ya La Gemma De Est Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.



No comments:
Post a Comment