ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 6, 2013

2FACE,ZANA LADY C NDANI YA SHOW YA OMMY DIMPOZ CALIFORNIA.

kushoto ni Mwanamuziki wa Nigeria 2Face aliyetamba na wimbo wake wa my african Queen pamoja na mwananmuziki toka Uganda Zana Lady C (kati0 walikuwepo ndani ya nyumba wakati wakati mwanamuziki Ommy Dimpoz alipofanya makamuzi Los Angeles, California. 

No comments: