Abiria wa basi la Taqwa kutoka Bujumbura kuelekea Dar es Salaam watekwa.
Abiria hamsini na moja waliokuwa wakisafiri na basi la Taqwa kutoka Bujumbura na kuelekea jijini Dar-es-Salaam wametekwa katika kijiji cha Milade wilayani Mkalama na kuporwa mali , simu na fedha zaidi ya shilingi milioni mia mbili hamsini.
No comments:
Post a Comment