ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 10, 2013

BAADALA YA KAZI AJIPONGEZA KWA KINYWAJI LICHA YAKUBURUDIKANA KINYWAJI HICHO PIA NI BONGE LA TANGAZO

Mshindi wa mbio za Marathon mjini Berlin, Ujerumani mkenya Wilson Kipsang mwenye umri wa miaka 31. Hapa anasherehekea ushindi wake. Alivunja rekodi ya mbio hizo kwa sekunde kumi na tano.

No comments: