Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake ambayo inakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music
Hii picha walipiga na Etoo huko London wakionyesha Rolex zao


1 comment:
shauri yako utaambiwa na wewe unauza sembe misifa misifa minginewe punguzeni jamani kama unacho wangapi wanacho msijitiye husda/kijicho wenyewe na watu wakakutiyeni shauri yenu ushauri wa bure huu
Post a Comment