ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 3, 2013

DIAMOND JANA ALIKUWA NA BABY AKE PENNY WAKILISHA CAKE YA BIRTHDAY-HAKUNA CHA WEMA WALA NINI

\
Shilole nae alikuwepo
Penny,Hlima kimwana na Diamond
Jinsi Peny alivyokuwa kakipamba kitanda kwa mauwa rose…
Shilole nae alikuwepo
Penny,Hlima kimwana na Diamond
Jinsi Peny alivyokuwa kakipamba kitanda kwa mauwa rose
Diamond na Penny wakicheza ngololo kitandani
Wakati watu wakiongea mengi na kuzusha Dimond amemwaga mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema Sepetu , Wawili hao Walikuwa wakilishana Cake na Kucheza Kitandani kama Watoto wadogo ...kama picha zinavyoonyesha ...Hakuna cha Wema wala nini ...Embu tuwaache Walale Jamani...Dahhhhh

1 comment:

Anonymous said...

wema kamuachia tu kwa kipindi hicho lakini usisikiye bibiye unadanganywa bwana wema ndo mwenyewe kwenye raha raha za kwenye angaa mulize jamaa anamkumbuka kila leo wema kwenye raha za anga angaaa pole sana penny mimi si shabiki wa wema wala nini ila najua undani na ukweli wa jamaa usisikiye