ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 3, 2013

DIAMOND PLATINUM AMPA ZAWADI MSHINDI WA KUCHEZA NGOLOLO

Mkali wa ngoma Nasibu Abdul “Diamond Platinumz”akimpa Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya Ngololo Bw. Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.
Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000.  Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw. Mathew Kampambe.
Mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya, aliyejishindia Ipad kwa kutuma video katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania, akionyesha Ipad yake kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) aliyejishindia na kukabidhiwa rasmi na Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum”(kulia) wakati wa droo ya tatu ya shindano la miito ya simu, ambapo washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000. 
kulia ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.MathewKampambe.

No comments: