Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa amemaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment