
Global TV ni programu maalum inayoletwa kwenu na Mtandao wa Global Publishers and General Enterprises LTD kwa lengo la kutoa habari na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu. Programu hii itakuwa katika mfumo utakaowarahisishia wasomaji na watazamaji wetu kupata habari na matukio yatakayokuwa yamerekodiwa kwa mfumo wa video. Programu hii itaanza hivi karibu na wapenzi wa mtandao huu jiandaeni kuangalia GLOBAL TV ONLINE.
No comments:
Post a Comment