Kijana akikaguliwa kwa umakini baada ya kutiliwa mashaka na walinzi wa Mlimani City leo mchana
Mlinzi wa kike akiwasubilia wananwake watakaotaka kuingia kwenye jengo la mlimani city ili hawakague
Ukaguzi ukiendela
PICHA NA PAMOJAPURE/PAMOJA BLOG



2 comments:
wamajuu ndo wanavyotaka muwe hivyo wanajua wanachokifanya poleni sana watanganyika daima ngozi nyeusi itakuwa chini ya watu wa majuu tukitaka tusitake ndo mfumo wa dunia ukiwa mjinga utabisha na tuoelewa kinachoendelea lakini ukiwa muerevu hakuna kitakacho kushtua na kukubabaisha utakuwa muelevu wa kugundua vitu na matukio yanayotokea haraka sana
ukiwa muerevu na mchunguzi wa mambo na matukio utajua kinachoendelea duniani ni kipi na wanatupeleka wapi sisi watu weusi hapa duniani ukiwa si muerevu na mkaidi basi utakuwa upo kizani kila leo utabururwa ovyo na kutokujua kinachotendeka hapa duniani na kuyasoma matukio.
poleni sana watanganyika wenzangu tuishi tu hivyo hivyo kwa kubururwa na watu wa majuu kwa vile si ngozi nyeusi sisi.
please naomba weka comment yangu luke
Post a Comment