Yaani huwa kuna imani kuwa vitendo vingi vya ukatili vinafanywa na wanaume, ila la hasha hata wanawake nao ni balaa. Sababu kubwa ya kuamini hivyo ni ile hali ya kuchukulia unaujua uchungu wa kuzaa, unajua hata wewe hutapenda mwanao afanyiwe vitendo ambavyo sio vizuri, nimekutana na mama huko Ubungo maziwa akiwa amemuajiri mtoto mdogo wa miaka 8 kama house girl na mbaya zaidi anampiga vipigo sana sana mpaka kumkata kata na mtoto ana makovu ya vipigo.
1 comment:
huo ni unyama wa hali ya juu... sasa nachotaka kujua hatua gani imechukuliwa???
Post a Comment