ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 21, 2013

Ibada ya Misa Takatifu ya Lugha ya Kiswahili Novemba 3, 2013 badala ya Oktoba 27

 Mapadri kutoka kushoto Fr. Shao, Fr. Leandrah Kimario na Fr. Jean Tambwe wakiongoza misa takatifu ya kiswahili iliyofanyika Baltimore, Maryland ya kuadhimisha miaka 3 ya misa ya Kiswahili DMV  hivi karibuni.
Ndugu Wapendwa
Tunanpenda kuwakaribisha kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili itakayofanyika Novemba 3 badala ya Oktoba 27.

Kuhairishawa kwa ibada hii kumetokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika. Samaanini sana kwa mabadiliko. Ibada itafanyika Novemba 3.

Nia ya ibada ni "Kutoa Shukurani na Kuziombea Familia Zetu" Ibada ya Novemba 3 2013 itafanyika katika Kanisa Takatifu la Mtakatifu Edwadi,
(Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216 ), saa nane kamili mchana (2:00 PM)

Karibuni sana tafazali wakaribishe ndugu na jamaa zako

Wasalamu
Dani Stephano, Katibu.
Waumini Wakatoliki wauminiwakatoliki@gmail.com

No comments: