Wachungaji, Mathayo Malekela na Stella Swai tunakukaribisha kwenye
ibada ya msiba wa mama mzazi wa Mch. Malekela itakayofanyika siku
ya Jumamosi Tarehe 10/5/2013 wiki hii.
1.Mahali pa ibada ni
12805 Georgia Avenue,
Silver Spring MD 20906.
2. Muda ni saa saba mchana hadi saa kumi na moja jioni [ 1pm to 5pm ]
3. Muhubiri ni Rev: Elingarami Munisi toka Tanzania.
4. Akina mama tunawaomba mje na chakula mkiweza.
Pia akina baba tunawaomba mtuletee vinywaji baridi [ maji,soda au juice ]
5. Mchungaji Samsoni Ananiah ataongoza kusifu na kuabudu.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa simu hizi
KUFIKA KWAKO NDIYO KUFANIKIWA KWA IBADA YETU.
No comments:
Post a Comment