ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 23, 2013

JAMAL MALINZI ATINGISHA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUWANIA URAIS TFF, JIJI DAR

Mgombea wa Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akizindua kampeni yake leo jijini Dar, mbele ya waandishi wa habari na wadau wa mpira wa miguu ambapo alielezea mikakati yake mbali mbali ya kuendeleza soka.
Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akiongea na vyombo vya habari.
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.
Waandishi wa habari wakiwa kwa wingi kufuatilia mgombea Jamal Malinzi wakati akimwaga sera zake mbele ya wajumbe.

No comments: