Hakika inafurahisha kumuona huyu kijana,miaka ya nyuma ni Wakongo waliokuwa wakitamba Tanzania,sasa ni watanzania wakifanaya vitu vyao kwa wa Kongo.Diamond Hongera
Nimeangalia hii clip kwa kweli imenitoa machozi kijana ana bahati sana katika wanamuziki wa bongo kwa kweli,namuombea mungu pesa na umaarufu usimpotezee maisha yake akafanya bonge la kosa maishani,kwa kweli nimemkubali nilikua namdharau tu before!1ame ni touch mno,namuombea Allah amzidishie kwakweli.Hii ni kazi anayoipenda na anafanikiwa u can see sio uchawi kama wengine wasemavyo noooooo he is hard work dude na anapendwa mno.Mleteni tena USA.
2 comments:

Post a Comment