Sheikh Issa Ponda akishuka kwenye basi la Magereza tayari Kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo ambapo Mahakama Ilikuwa inatoa Maamuzi kuhusu Kufutiwa shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh Ponda katika Mahamama hiyo.Mahakama Imetupilia Mbali Ombi hilo na kesi itaendelea Kusikilizwa katika Mahamama hiyo.Kesi hiyo imeahiriswa Mpaka tarehe 7 November mwaka huu ambapo mahakama itaanza kusikiliza Mashahidi wa kesi hiyo.Sheikh Ponda Amerudiswa Rumande.
Sheikh Issa Ponda Akiingia katika viwanja vya mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa morogoro..
Sheikh Ponda akiwa mahakamani akimsubiri Hakimu tayari kusikiliza Kesi yake katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa morogoro
Mke wa sheikh Ponda akiwa mahakamani
Ulinzi ukiwea umeimarishwa mahakamani hapo leo wakati kesi hiyo ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wsa morogoro
PICHA NA MATUKIO NA MICHAPO BLOG
5 comments:
inshallah Allah atakusalim salaama na utoka inshallah biizni lillahi taala na vitana zoa nau uhasama wao Allah atakukinga nazo allah ma amin
mbona malodi wauza unga walioopo mijini na serikalini mbona hamuwakamati mnawakamata hawa wanyonge maskini za mungu
mchochizi mkubwa wee mpiga picha uliye mpiga picha mke wa sheikh wetu unamtakia nini? fisadi mkubwa mpiga picha weweeee mungu kisha kuona
Wewe kwani mke wa sheikh kupigwa picha kuna shida gani? Kama angetaka asipigwe picha alikwenda mahakamani kufanya nini? Ninyi msituletee mambo ya dini yenu hapa, kama ni sheria zenu zisizo na maana ziishie misikitini kwenu siyo kwenye public, hatuwezi kuambiwa ujinga ujinga na watu wasio na mbele wala nyuma, wenye akili zinazofikiria fujo tu.
kuwa mstaarabu mdau wa mwisho kama kweli wewe mstaarabu na msomi usingeandika maneno hayo kwamba eti sheria zenu zisizo na maana ziishie misikitini, mbona sheria zenu zisizo na maana manazingiza kwenye siasa na kutawala nchi unadhani hatulijui hili. kuwa mstaarabu wewe,waislamu ndo walio pigania uhuru sio wewe fisadi wa kupiga picha na kuleta maneno ya sio na maana na dini ya kiislamu ndo dini iliyo na ustaarabu na yenye hekima kwa kila pembe kama msomi kweli unayajua haya kama ndo msomi wa kupiga picha mitaani basi kalaga baoo pole sana..
so usituleta hapa pumba na kutukasifu na dini yetu usione kama tumekaa kimya kama hatuwezi kujibishana na wewe/nyinyi, dini yako ndo isiyo na muelekeo wala mbele wala nyuma na inayoanzisha vita kila pembe ya dunia kisa mmeshafundishwa muwe wezi kukwapua mali asili za wenzenu na watu wakiamka ndo mnawaista magaidi na kuwakamata ovyoo na kuwababikizia kesi kila aina.
so chungu sana bwana mdogo kama kweli mstaarabu na msomi usome uislamu ujuwe vizuri ndo utajua kama hauna mbele au una leta futa.
jiheshimu kwa kazi yako na utaheshimiwa ukija na pumba zako hapa kwenye blog utakiona cha mtema kuni labda luke asiweke tu comment zetu so njoo taraatibu hapa waislamu tumeshaamka sioni enzi za kiza kizito tupo macho na tunakuangaliyeni kila move mnazo make upo babbaaa
Post a Comment