ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 15, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

2 comments:

Anonymous said...

jamani na wa miss sana kina mwaipaji na yassin hapa tungecheka kidogo wangekuwepo jamani wabebelezeni warudi najua wadau mnaochangia mko fresh lakini kila mtu anakipaji chake na wale jamaa walikuwa wana madoido yao ya ki alwattan nawa miss sana jamanni wawekeni jamani wabebelezeni jamani ndo maisha jamani please

Anonymous said...

kuna mdau kasema eti hatuko kama wanaigeria au wakenya anajua kwamba wale ndo mafisadi halisi so anataka kila mtanzania tuwe hivyo aiseee jamaa kachemsha na si kweli kwamba watanzania wote tupo wapole wanyonge na eti nyerere kafanya hivyo ni mentality yako kichwani unaweza kumuweka mchaga na mzaramu halafu niambiye kama mchaga atakuwa mpole anaijui pesa kama mchanga wa ufukweni

tusimsingizize nyerere mko majuu basi fanyeni vitu vyetu bado vijana sio eti nyerere hivi na vile na mimi wala si mfagili nyereere kila mtu binadamu ana mazuri na mabaya yake na ujamaa hajafeli kulikuwa kuwa watu mafisadi ndo waliofelisha wewe kosa ujamaa ungeishi marekani na kuwa na kijiwe cha ughaibuni acheni zenu.

nyerere aliona mbali tumiyeni mentality zenu mjiinue maisha yenu bado vijana siyo kukaa na kulaumu mapungufu ya nyerere na kuona eti ulaya kila kitu ni sawa.

hata hiyo siasa ya marekani hamuijui vizuri na ku challenge kama mnaijua mtaona bora nyerere.