ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 9, 2013

LICHA YA DIAMOND KUKANUSHA KUWA AKUWA NA WEMA HIVI KARIBUNI PICHA ZAVUJA HABARI NDIYO HIYO


 Diamond akiwa na Wema Sepetu acheni mapenzi  yaitwe mapenzi kwani kila mtu anaujuzi na utundu wake katika funny hiyo ya malovidave, Unaweza kujikuta unaugua uchizi kwa kukikosa kile kinacho kufanya ukikose kwa ulienae licha ya kutoa mahari ya ngombe na hata kama ulinunua ndege  binafsi kwa umpendae. Hata ununue Lake Victoria na samaki wote lakini ukimiss kitu special kutoka kwa yule alienacho ujiona hauko kamirifu hadi urudi na ukipate. Kwa picha zaidi ya sekeke hilo pitia hapa chini kuona Diamond na Wema walivyo kuwa wanakula bata uko Indonesia Diamond alikokuwa ameenda kupiga show kabla ya Birthday yake.
 Juu na chini Diamond akiwa na Wema Indonesia.

11 comments:

Anonymous said...

Du hapa kuna ukweli ndani yake. Pole Penny wee,embu mtazame Diamond anavyokamata mwili wa Wema kimahaba si sawa kabisa na alivyokuwa anaweka mikono mbali kabisa na mwili wa Penny kwenye zile picha na ile clip ya birthday yake.Kule ilikuwa kama Penny ndio anamvutia kwake, hebu check hapa mtoto Wema wala hana shida kijana mwenyewe anajishughulisha.Na mapenzi ya kurudiana yanavyonogaga sasa, mh kaaazi kweli kweli.

Anonymous said...

ni kweli kabisa ulivyosema wacheni mapenzi yaitwe mapenzi yaaani kupenda ni nusu ya uwazimu na mapenzi ni kama upofu yaani nimeona hii picha roho yangu imekuwa nyeupee japo simjui wema wala diamond zaidi ya kuwasoma ktk mitandao lakini hawa watu wanapendezana sana na nafikiri nyota zao zinalingana yaani wangeowana ingekuwa powa sana jamani naombeni picha zaidi ya wema na diamond kwa sasa akiwa na wema zaidi hii ni zaidi ya burudani

Anonymous said...

Mimi nadhani walikutana tu lakini kila mmoja alikuwa na safari zake. Wakaona siyo mbaya kusalimiana na kupiga picha hasa ukizingatia kuwa wanafahamiana. Si vizuri kuwasingizia nini walifanya au hawakufanya maana hakuna mwenye ushahidi ukiondoa wao wawili peke yao.

Anonymous said...

sijasema mimi siyo kwamba nataka kukumiza penny uone uchungu au ndo shosti wake mimi wema no kwanza hata hanijui mimi huyu wema na wala sipo bongo mimi lakini nimjua diamond na nimemsoma long time na wema pia namjua bila ya yeye kunijua so mama cha muhimu usiwe mjinga mama piga kazi na tafuta course yeyote ile jisome na ujiendeleze kimaisha usikubali kuwa mjinga wa mtu katika dunia hii ya leo wanaume ndo walivyo sawa wewe ni mrembo mama na usikubali diamond akucheze akili.
wote vicheche mama muamini mungu tu na shika kamba yake hakuna litakalo kupata usiende kwa sangoma hawa saidi kitu mungu ndo msaidizi mkuu na bora okay mdaau majuu

Anonymous said...

Bora arudiiiiii na aoeee kabisaaa!!! Wanapendezanaaa na nimekukubali Dj Luke mapenziii bwanaaa si mchezoooo..

Anonymous said...

Hehehehehe! Majangaaaaaa ! Kumbeeeeee yamekuwaaaa hayo tena!!!!

Anonymous said...

ha ha haaa hureeee bora warudianeeee wanapendezanaaaa,na picha zao zinavutiaaa,walivishana pete bora waoaneeeee,hii itakuwa fundisho wa wezi wa waume za watuu

Anonymous said...

Ila wema kashaoza maana huo mwili na mikorogo usiseme

Anonymous said...

Hivi huyu kaka wanampendea nini maana kafanana sana na samaki changu!

Anonymous said...

Penny limekaa kama tikiti maji. Mwanaume anakufanyia ushenzi na madharau. Halina akili!

Anonymous said...

Diamond zezeta hajui hata anachokitaka. Na "Mtaalamu" Wema hafanyi hiana kumvuta huku na huko anavyopenda yeye. This is funny and interesting. Mpenzi wa zamani mtamu bana lol.